MOTO WATEKETEZA SHULE YA ST. JOSEPH RUTABO KWA MARA YA TATU

0
557

|Mwandishi WetuWiki moja baada ya moto kuzuka na kuteketeza mabweni matatu ya Shule ya St. Joseph Rutabo iliyopo Kamachumu mkoani Kagera, bweni jingine moja linateketea kwa moto muda huu.

Hii ni mara ya tatu kwa shule hiyo kuteketea kwa moto ambapo mwaka Julai 27, mabweni matatu yaliteketea huku mwanafunzi mmoja akifariki dunia.

Mwalimu Mkuu wa shule hiyo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here