NMB YAJA NA AKAUNTI YA FANIKIWA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa kuzindua akaunti ya “FANIKIWA” kwa ajili ya kusaidia wajasiriamali wadogowadogo kupata mikopo ya riba nafuu. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Biashara wa benki hiyo, James Meitaron.     Na MWANDISHI WETU-DAR More...

by Mtanzania Digital | Published 2 days ago
By Mtanzania Digital On Thursday, May 25th, 2017
Maoni 0

NCHI ILIVYOLIWA KWENYE MADINI

Rais Dk. John Magufuli akipokea taarifa ya uchunguzi wa kiasi cha madini kilichopo katika mchanga (makinikia) uliokuwa ukisafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini nchini, kutoka kwa Mwenyekiti wa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 18th, 2017
Maoni 0

Mazingira bora ya kazi na mafanikio ya taasisi- Mafunzo kutoka Exim Bank.  

Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia katika nyanja mbalimbali. Ni Dhahiri kuwa uchumi wa sasa hutegemea sana maendeleo hayo ya sayansi na teknolojia. Je ipi nafasi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 18th, 2017
Maoni 0

RIPOTI MAALUMU: MAPATO YAPOROMOKA, MATUMIZI JUU

Na JUSTIN DAMIAN, RIPOTI ya hali ya uchumi kwa mwezi Machi iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hivi karibuni, inaonyesha hali kutokuwa nzuri kutokana na malengo ya makusanyo kutofikiwa, huku matumizi More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

MIKOPO PSPF YAZIDI KUWANUFAISHA WANACHAMA WAKE

NA HARRIETH MANDARI–DAR ES SALAAM WATANZANIA wanachama katika mifuko ya pensheni nchini, wamekuwa wakinufaika na huduma mbalimbali za mifuko hiyo zinazowawezesha kutoa suluhu ya changamoto mbalimbali More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

SERIKALI YATAKA MAPINDUZI BIASHARA YA NGOZI

Na Mwandishi wetu IKISIMAMA kidete kwa azma yake ya  kufanya nchi kuelekea uchumi wa viwanda, Serikali inasisitiza uongezaji wa thamani katika biashara ya ngozi ili kuongeza ajira na ukuaji uchumi More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

TRA KUKUSANYA KODI YA MAJENGO BAADA YA UTHAMINI

Na KOKU DAVID- DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imepewa mamlaka ya kusimamia na kukusanya kodi ya majengo tangu Julai mosi, mwaka jana kwa  mujibu wa  mabadiliko ya Sheria ya Majengo More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

AFRIKA KUSINI YAHITAJI MAZAO YA KILIMO, SARUJI

NA HARRIETH MANDARI-DAR ES SALAAM Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Afrika Kusini ukiongozwa na Rais Jacob Zuma, ulifanya majadiliano kati yao na  wafanyabiashara wa Tanzania kwa nia ya kushirikiana More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

STANDARD CHARTERED MAPATO JUU ROBO YA KWANZA 2017

Na Mwandishi Wetu Wakati benki nyingi zikihangaika kuishi  na mikopo mingi isiyolipika na mapato kiduchu, ni sherehe kwa Benki ya Standard Chartered Limited ambayo imefanya vizuri katika mapato yake More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

AIRTEL MBIONI KUINGIA DSE

Shermarx Ngahemera MSEMO kuwa kutangulia si kufika na mwendapole hajikwai unajidhihirisha kwenye suala la kuingia soko la hisa kati ya Kampuni za Airtel na Tigo ambao wanatakiwa kisheria kujiunga kwa shuruti More...