MESSI, RONALDO, NEYMAR NANI MCHEZAJI BORA WA MWAKA?

LONDON, ENGLAND SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limetoa orodha ya majina matatu ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ambao ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar. Viongozi wa Fifa na baadhi ya wachezaji wa zamani wa soka kama vile Roberto Di Matteo, Jay Jay Okocha, Peter Shilton, walikuwa miongoni mwa wageni waliokuwepo More...

by Mtanzania Digital | Published 7 hours ago
By Mtanzania Digital On Sunday, September 24th, 2017
Maoni 0

CONTE: MORATA ANGEWEZA KUMUOA MWANANGU

LONDON, ENGLAND KOCHA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini England, Antonio Conte, amemmwagia sifa mshambuliaji wake, Alvaro Morata, huku akidai kuwa ana nidhamu ya hali ya juu na angeweza kumpa nafasi ya kumuoa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, September 23rd, 2017
Maoni 0

COSTA: KWAHERINI CHELSEA, SINA TATIZO NA CONTE

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); SAO PAULO, BRAZIL BAADA ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini England, Chelsea, kufikia makubaliano na klabu ya Atletico Madrid ya nchini Hispania juu More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

EVERTON WAMKATA ROONEY MIL 900/-

LONDON, ENGLAND HATIMAYE uongozi wa klabu ya Everton ya nchini Uingereza, imetangaza kumkata mshahara wa wiki mbili mshambuliaji wake, Wayne Rooney kutokana na kosa la kuendesha gari akiwa amelewa. Kwa sasa Rooney More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

IDADI YA MASHABIKI EMIRATES YASHTUA

LONDON, ENGLAND UWANJA wa soka wa klabu ya Arsenal, Emirates, umeweka historia mpya ya kuingia mashabiki wachache kwenye mchezo wao wa juzi dhidi ya Doncaster Rovers, huku kikosi hicho cha kocha Arsene Wenger kikishinda More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

JAKE LAMOTTA AFARIKI DUNIA

NEW YORK, MAREKANI BINGWA wa zamani wa ngumi uzito wa kati duniani, Jake LaMotta, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Bondia huyo alikutwa na umauti nyumbani kwake nchini Marekani, baada ya kusumbuliwa na More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 19th, 2017
Maoni 0

MOURINHO AANZA KUMCHOKOZA GUARDIOLA

MANCHESTER, England NI kama kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, ameanza kulewa kwa matokeo mazuri ya kikosi chake msimu huu baada ya kumtupia dongo hasimu wake wa siku nyingi, Pep Guardiola. Makocha hao More...

By Mtanzania Digital On Saturday, September 16th, 2017
Maoni 0

POGBA AMCHEFUA MOURINHO

MANCHESTER, England IMERIPOTIWA kuwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, amekasirishwa na kitendo cha Paul Pogba kuumia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Basel ya Uswisi. Mourinho amemtupia More...

By Mtanzania Digital On Saturday, September 16th, 2017
Maoni 0

SHARAPOVA AMCHANA ‘LIVE’ MURRAY

LOS ANGELES, Marekani MWANADADA Maria Sharapova, amemjia juu staa mwenzake katika mchezo wa tenisi, Andy Murray, akimwambia afunge mdomo kwani haelewi chochote kuhusu tuhuma zake za utumizi wa dawa za kuongeza More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 15th, 2017
Maoni 0

PAUL POGBA NJE WIKI SITA

MANCHESTER, ENGLAND KLABU ya Manchester United, imethibitisha kuwa kiungo wao, Paul Pogba, atakuwa nje ya uwanja kwa wiki sita baada ya kuumia kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Basel wiki hii. Kiungo huyo More...

Translate »