URUSI, CHINA ZALAANI MKAKATI MPYA WA USALAMA MAREKANI

MOSCOW, URUSI URUSI na China zimeulaani mkakati mpya wa usalama wa Marekani, ambao unalenga kukabiliana na mataifa hayo zaidi badala ya ugaidi. Katika mkakati huo Marekani imeziainisha China na Urusi kuwa kitisho kikubwa zaidi kwake, ikiashiria kuachana na mkakati wa zaidi ya mwongo mmoja na nusu wa kukabiliana na wanamgambo wenye itikadi kali. Moscow More...

by Mtanzania Digital | Published 12 hours ago
By Mtanzania Digital On Monday, January 22nd, 2018
Maoni 0

MNANGAGWA AKARIBISHA WAANGALIZI WA KIMATAIFA ZIMBABWE

HARARE, ZIMBABWE RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amewakaribisha waangalizi wa kimataifa wakiwamo wa Umoja wa Mataifa wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu. Rais Mnangagwa ametoa ukaribisho More...

By Mtanzania Digital On Sunday, January 21st, 2018
Maoni 0

BUNGE LAMTIKISA RAIS TRUMP, LAKATAA BAJETI YAKE

WASHINGTON, MAREKANI SERIKALI ya Marekani chini ya Rais Donald Trump, imeanza kupata mtikisiko hali ambayo itailazimu kufunga huduma zake kwa wananchi kutokana na Bunge la Seneti nchini humo kushindwa kuidhinisha More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 17th, 2018
Maoni 0

URUSI YAISHUTUMU MAREKANI KUIVURUGA SYRIA

MOSCOW, URUSI WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov, ameishutumu Marekani kwa kuivuruga makusudi Syria baada ya kukusanya jeshi la waasi na kuwapatia mafunzo na silaha hali ikijua kuna Serikali. Lavrov More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 17th, 2018
Maoni 0

BUNGE LA ULAYA LAIJADILI KENYA

STRASBOURG, UFARANSA BUNGE la Ulaya jana lilitarajia kuijadili Kenya, siku chache tu baada ya jopo lake la waangalizi wa uchaguzi kuchapisha ripoti iliyounanga uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo mwaka jana. Bunge More...

By Mtanzania Digital On Monday, January 15th, 2018
Maoni 0

PUTIN AWAACHA MBALI WAPINZANI WAKE KURA ZA MAONI

MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameendelea kuongoza katika kura za maoni baada ya utafiti mwingine kumpatia asilimia 81 ya wapiga kura waliopanga kujitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao. Utafiti huo More...

By Mtanzania Digital On Monday, January 15th, 2018
Maoni 0

MKE WA MUGABE ANYANG’ANYWA WALINZI

HARARE, ZIMBABWE SERIKALI ya Zimbabwe imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mama Taifa, Grace Mugabe huku wengi wa wasaidizi wake wakipangiwa majukumu mengine, duru zimesema. Walinzi hao wataondolewa hatua kwa hatua hadi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, January 14th, 2018
Maoni 0

NYUMA YA PAZIA KOFFI OLOMIDE, URAIS AFRIKA

NA MARKUS MPANGALA KOFFI Olomide raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ni miongoni mwa watu maarufu duniani kutokana na shughuli zake za muziki. Taswira ya mwanamuziki huyo imejengwa katika burudani, maisha More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 13th, 2018
Maoni 0

TRUMP ADAIWA KUITUKANA AFRIKA

NEW YORK, MAREKANI RAIS wa Marekani, Donald Trump, amedaiwa kuwashutumu wahamiaji wanaoingia nchini humo kutoka Haiti, El Salvador na Bara la Afrika kwa kuwafananisha na uchafu kwa madai wanaharibu nchi hiyo hivyo More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 11th, 2018
Maoni 0

TRUMP AMUWAZA OPRAH WINFREY 2020

WASHINGTON, MAREKANI RAIS Donald Trump, ameonekana kuguswa na tetesi kuwa muigizaji nguli wa Marekani,  Oprah Winfrey anaweza kuwa mpinzani wake mwenye nguvu katika kinyang’anyiro cha urais mwaka 2020.   Rais More...

Translate »