26.7 C
Dar es Salaam
Thursday, November 14, 2024

Contact us: [email protected]

ZOEZI LA UKOAJI WALIOKUMBWA NA TETEMEKO BADO LINAENDELEA MEXICO

Zoezi la kuwaokoa waliofukiwa na kifusi kufuatia Tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Mexico zinaendelea licha ya matumaini madogo ya kuwakuta hai.
Wafanyakazi wa majanga ya dharura pia wale wa kujitolewa wamekuwa wakichimbua vifusi kwa kutumia mikono.
Mpaka sasa taarifa zilizopo ni kuwa watu 225 wamefariki huko Mexico kutokana na tetemeko hilo, wakiwemo watoto 21, ambao walikufa wakiwa shuleni Mexico City.
Watu 52 tayari wameokolewa kutoka katika kufusi katika mji mkuu wa nchi hiyo.
Tetemeko hilo la ardhi ni la pili kuikumba nchi hiyo katika kipindi cha mwezi mmoja
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles