25.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

TAMASHA LA MICHEZO LINDI LAFANA


Na HADIJA OMARY

Tamasha la michezo mkoani Lindi limezinduliwa jana kwa viongozi na wanaLindi wakishiriki mazoezi ya pamoja ya siku tatu yanayofanyika viwanja vya Ilulu manispaa ya Lindi.
Viongozi walioshiriki kwenye tamasha hilo ni pamoja na mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shahibu Ndemanga, afisa michezo wa mkoa wa Lindi, Chiza Gwidegenza na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
Wengine walioshiriki ni watumishi wa serikali na wananchi wa mkoa mkoa huo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles