29.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 4, 2023

Contact us: [email protected]

Sakho ashinda tuzo ya bao bora la mwaka

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Simba ambaye ni raia wa Senegal, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.

Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.

Sakho alifunga bao hilo wakati Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles