28.2 C
Dar es Salaam
Thursday, August 11, 2022

Korea yafanya jaribio la makombora

Korea Kaskazini imerusha makombora mawili ya masfa mafupi kutoka eneo la Sino-ri lililopo Kaskazini Magharibi mwa mji mkuu wa Pyongyang.

Taarifa ya jaribio hilo imetolewa na jeshi la Korea Kusini lakini pia hatua hiyo inakuja wakati balozi wa Marekani anayehudumu huko Korea kazkazini Steve Beigun anazuru Korea kusini kutafuta vipi mazungumzo hayo yanaweza kuanzishwa upya.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,455FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles