DK. SHEIN AWAFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA PEMBA

NA SULEIMAN OMAR-PEMBA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewatembelea na kuwapa pole wananchi wa maeneo mbalimbali kisiwani Pemba kutokana na maafa yaliyowapata, yaliyotokana na mvua za masika zinazoendelea kunyesha. Mvua hizo zimeathiri baadhi ya makazi ya wananchi, mazao na miundomninu ya barabara More...

by Mtanzania Digital | Published 6 months ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, May 16th, 2017
Maoni 0

KIMBUNGA CHALETA MAAFA ZANZIBAR

Na MWANDISHI WETU-ZANZIBAR (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); ZAIDI ya nyumba 70 zimeezuliwa mapaa kisiwani Unguja, Zanzibar baada ya kimbunga cha dakika 45 kutikisa. Kimbunga More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

SMZ YAIPONGEZA SERIKALI YA CUBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein     Na MWANDISHI WETU – ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 4th, 2017
Maoni 0

MWANASHERIA AFUNGUKA KUHUSU MUUNGANO

ARODIA PETER NA MAULI MUYENJWA -DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameufananisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa ni kama ‘ndoa ya jinsia moja’, More...

By Mtanzania Digital On Saturday, February 11th, 2017
Maoni 0

DK. SHEIN NAYE AWAFUNDA MABALOZI WAPYA

Na Mwandishi Wetu- Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka mabalozi wapya wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchi za nje kutekeleza Sera ya Diplomasia More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 27th, 2017
Maoni 0

WANAFUNZI WALIVYOFUMBULIWA MACHO KUHUSU NDOA ZA UTOTONI

Na MWANDISHI WETU, aliyekuwa Zanzibar DESEMBA mwaka jana, wadau wa Shirika lisilo la Kiserikali la Foundation for Civil Society (FCS), wawakilishi wa serikali na wadau wa maendeleo (DPs), walifanya ziara More...

By Mtanzania Digital On Monday, January 9th, 2017
Maoni 0

MAALIM SEIF: UKIMYA WANGU UNA MSHINDO

Na ASHA BANI-ZANZIBAR   Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, (kushoto), akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), More...

By Mtanzania Digital On Sunday, January 8th, 2017
Maoni 0

SADIFA: SITAGOMBEA UBUNGE 2020

MBUNGE wa Donge, Sadifa Juma Khamis Na Mwandishi Wetu – Zanzibar MBUNGE wa Donge, Sadifa Juma Khamis, jana alitangaza kuwa hatagombea tena ubunge mwaka 2020, huku akimshutumu hadharani Katibu wa CCM Mkoa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 7th, 2017
Maoni 0

CUF WATEMBEZA BAKULI KUSAKA FEDHA ZA KAMPENI

NA ASHA BANI CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaidai Serikali ruzuku ya zaidi ya Sh milioni 600 na kuwapa wakati mgumu katika kipindi cha uchaguzi wa marudio katika Jimbo la Dimani visiwani Zanzibar. Kukosa ruzuku kwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 6th, 2017
Maoni 0

KINANA ARUSHA KOMBORA KWA MAALIM SEIF

Na Muhammed Khamis (UoI)-ZANZIBAR KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amerusha kombora zito kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimwita mgombea More...

Translate »