25.2 C
Dar es Salaam
Monday, May 20, 2024

Contact us: [email protected]

Urejeshaji hali Hanang’ waendelea

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Wananchi wamepokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko ya mawe na matope kutoka mlima Hanang kwa kushrikiana na Serikali.

Uratibu wa zoezi hilo unaenda sanjari na ugawaji wa vifaa vya msaada wa kibinadamu kwa waathirika wa maafa hayo.

Hatua hiyo inaenda sambamba na hali ya urejeshaji hali katika Mji wa Katesh, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, huku shughuli ya uondoaji wa tope katika barabara na mitaa ya Mji wa Katesh ikiendelea.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles