25.9 C
Dar es Salaam
Monday, May 20, 2024

Contact us: [email protected]

Shilingi ya Tanzania sasa kutumika kwenye Biashara India

N Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wamekubaliana kuongeza matumizi ya fedha za nchi badala ya za kigeni kwenye biashara kati ya Tanzania na India.

Wakizungumza mapema leo Oktoba 9, 2023 katika mkutano wa pamoja na Waandishi wa habari baada ya mazungumzo yao ya faragha, Waziri Mkuu Modi amesema lengo la hatua hiyo ni kuongeza biashara na kupunguza gharama.

Hatua hiyo itapunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya Dola ya Marekani kwenye nchi hizo kwa sababu kwa sasa (kwa takwimu za India 2022/23) thamani ya biashara ya India na Tanzania imefika dola bilioni 6.7 (zaidi ya Shilingi Trilioni 14) – ongezeko kubwa kutoka dola bilioni 3.1 mwaka 2021/22 (takwimu za Tanzania).

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles