24.1 C
Dar es Salaam
Sunday, September 8, 2024

Contact us: [email protected]

Samia: Zambia njooni, Bandari Dar iko vizuri

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam utaifanya iwe na uwezo mkubwa na ufanisi zaidi wa kuhudumia wateja wake kutoka popote duniani.

Rais Samia ameyasema hayo leo Oktoba 24, 2023 katika hotuba yake kama mgeni rasmi wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia iliyofanyika Ikulu ya Lusaka, Zambia.

Aidha, Rais Samia aliitumia nafasi hiyo kushawishi serikali na wafanyabiashara wa Zambia kuendelea kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kama kituo chake Kikuu cha usafirishaji na upasuaji wa mizigo yake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles