28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

Maandalizi ya Judo A/ Mashirika yaanza

Na Victoria Godfrey, Dar es Salaam

Chama cha Judo Zanzibar( ZJA) kimesema limeanza maandalizi ya mashindano ya ubingwa wa Afrika Mashariki ambayo yamepangwa kufanyika Machi 4 hadi 8 mwaka huu,Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa ZJA, Mohamed Khamis Juma, amesema kuwa maandalizi yanakwenda vizuri.

Amesema kuwa mialiko imetolea kwa vyama na mashirikisho ya mchezo huo Afrika Mashariki ili waandaa timu zao kujiweka tayari kwa mashindano hayo.

“Maandalizi yanaendelea kufanyika ili kuhakikisha yanafanyika kwa weledi na ushindani mkubwa kwani tunaamini timu zitakuwa zinajiandaa kikamilifu,” amesema Juma.

Amesema wanaendelea kuongea na wadau wa Michezo, taasisi na Kampuni waweze kuwasapoti katika kufanikisha hilo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles