25.5 C
Dar es Salaam
Saturday, May 18, 2024

Contact us: [email protected]

LIL KIM AMWITA NICKI MINAJ ‘NYOKA’

NEW YORK, MAREKANI


BIFU kati ya rapa Kimberly Jones ‘Lil Kim’ na Nicki Minaj linazidi kupamba moto baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita Lil Kim kumwita mpinzani wake ni nyoka.

Ni muda sasa tangu Lil Kim aweke wazi kuwa yeye ni mkongwe wa muziki huo dhidi ya Nicki Minaj na anafanya vizuri kwa kuwa anaiba ‘style’ zake nyingi za uchezaji.

“Kuna rapa wengine hawajielewi, nashangaa kuona mtu unatumia baadhi ya aina zangu za uchezaji jukwaani ili kujitafutia umaarufu, basi kama ni hivyo nipewe heshima yangu.

“Naweza kusema wanawake wa aina hiyo wamekuja kwenye muziki wakibahatisha, kwa yule ambaye ananifuatisha kwangu namwita nyoka,” alisema Lil Kim.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles