25.5 C
Dar es Salaam
Thursday, September 28, 2023

Contact us: [email protected]

Faraja Deogratias aachia ‘Ni Neema Yako Mungu’

Phoenix, Marekani

KUTOKA Phoenix nchini Marekani mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili, Faraja Deogratias, amerudi kivingine na wimbo mpya, Ni Neema Yako Mungu.

Faraja, amewaomba wapenzi wa muziki huo Afrika Mashariki waupokee wimbo wake, Ni Neema ya Mungu kwa sababu umebeba ujumbe mzuri kwa watu wore.
“Nimeachia audio ya wimbo wangu mpya Ni Neema ya Mungu katika chaneli yangu ya YouTube, kwa unyenyekevu mkubwa naomba sapoti kwa mashabiki wa muziki wa Injili ili huduma yangu izidi kukua na kuwabariki wengi,” amesema Faraja.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,750FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles