28.4 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

‘Counting My Blessings’ ya Obert Mazivisa yazidi kupaa

London, Uingereza

Wimbo Counting My Blessings wa mwimbaji, Obert Mazivisa kutoka nchini Uingereza (UK), umeendelea kufanya vyema kwenye chati mbalimbali za muziki huo.

Katika hali ambayo hakuitarajia mwimbaji huyo mwenye asili ya Afrika, wimbo Counting My Blessings, umeingia kwenye chati za muziki ndani na nje ya Uingereza.

Obert Mazivisa, amesema anamshukuru Mungu kwasababu kupitia wimbo, Counting My Blessings, milango ya baraka imefunguka na huduma yake imeendelea kukua kwa kasi huku watu wakibarikiwa na ujumbe uliopo ndani yake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles