31 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 3, 2023

Contact us: [email protected]

Ni mwendo mdundo kwenye soka la Ulaya mwezi huu.

Meridianbet Tumekuwekea Odds za Kibingwa Wiki Hii!

Mwezi Machi kuanza kwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza – EPL sambamba na muendelezo wa mashindano mbalimbali barani Ulaya.

Jumanne hii kule Ujerumani kutakuwa na muendelezo wa DFB Cup. Borussia Moenchengladbach vs Borussia Dortmund. Hizi ni timu zinazotoka jiji moja lakini uwanjani, hakuna ujirani. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 kwa Dortmund kwenye mchezo huu.

Kwenye Serie A kule nchini Italia, Sassuolo atapambana na Napoli Jumatano hii. Japo Napoli anasuasua msimu huu, bado huwezi kumuondoa kwenye orodha ya timu bora nchini Italia. Kupitia Meridianbet, Napoli amepatiwa Odds ya 2.30.

Kwenye Copa del Rey kule nchini Hispania alhamisi hii ni Levante vs Athletic Bilbao. Ukiacha kombe la ligi ya La Liga, Copa del Rey ni mashindano yenye heshima kubwa nchini humo. Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.35 kwa Bilbao kwenye mchezo huu.

Yote 9, 10 ni kwenye EPL Alhamisi hii. Liverpool kuwakaribisha Chelsea pale Anfield. Mabingwa watetezi wa EPL – Liverpool wameshatolewa umaarufu baada ya kucheza michezo 68 bila kupoteza mchezo kwenye uwanja wao wa nyumbani, sasa hivi timu yeyote inaweza kuondoka na pointi 3 Anfield.

Upande wa pili, Chelsea chini ya Thomas Tuchel bado haijaonja ladha ya kupoteza mchezo.

Chelsea wametoka kusuluhu na Man United na sasa wanawafata Liverpool kabla ya kuvaa na Everton kwenye mchezo unaofata. Hali itakuwaje baada ya dakika 90 pale Anfield alhamisi hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Chelsea kwenye mchezo huu

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles