26.2 C
Dar es Salaam
Sunday, April 2, 2023

Contact us: [email protected]

Burudika na Cashout ya Parimatch

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeendelea kuwanufaisha wateja wake kwa kuwapa fursa zenye faida kubwa, ambapo kwa sasa watumiaji wake wataweza kuokoa kiasi cha fedha katika mikeka yao waliyoisuka hata kama mechi zote hazijamalizwa kuchezwa kwa wakati huo kwa kutumia mfumo wa kujitoa unaoitwa Cashout.

Hayo yameelezwa na Afisa Habari na Mawasiliano kwa Umma wa Parimatch Tanzania Bw. Ismael Mohamed wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari na kusema lengo la kuweka soko hilo ni  kutekeleza maombi ya wateja wao kwa kile walichokuwa wakilalamikia kuchaniwa mikeka yao na timu moja kati ya sita, 10 au 20 walizocheza.

Aidha, Mohamed alisema kupitia Cashout shida zote na ule wasiwasi wa kuiwazia timu fulani kuwa pengine itaweza kuharibu mkeka, hilo suala halitakuwepo kwa sasa endapo mteja huyo atatumia chaguo la Cashout kuokoa fedha zake.

“Hii ni habari njema kwa wadau wetu wanaobeti kupitia Parimatch pia na kwenye App yetu ya Parimatch na kwa wale wanaotaka kujiunga nasi upya basi wachangamkie ‘dodo’,  huku kwetu hakuna mkeka unaochanika CashOut ndio mpango mzima. Umebeti jana halafu leo umeona kuna timu  moja wapo kwenye mkeka wako inataka kuharibu hali ya hewa basi Parimatch inakupa option ya kutumia huduma ya CashOut ili kusudi uokoe mtonyo wako ulioweza kupiga kwenye mechi nyingine ulizopasua”, alisema Mohamed.

Pamoja na hayo, Mohamed ameendelea kwa kusema kuwa mbali na Cashout, Parimatch ina masoko mengine zaidi ya 200 kwa kila mechi inayochezwa ambazo huweza kutoa Odds kubwa kulingana na matakwa ya mteja katika mkeka wake.

Kwa upande mwingine, Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya Ukaribisho ya 100% hadi kufikia TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nao!

Parimatch imekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka 2019, ikitoa huduma nzuri ikijumuisha malipo ya haraka, odds kubwa na promosheni za kusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual. Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamia ya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wa vikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi ya Live na pre-match.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,405FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles