28.3 C
Dar es Salaam
Monday, July 22, 2024

Contact us: [email protected]

PSG wamjadili Jesus


MATAJIRI wa PSG wataibomoa Manchester City kwa
kumsajili mshambuliaji wao raia wa Brazil, Gabriel Jesus,
endapo Kylian Mbappe atatimkia Real Madrid.

Madrid wamepania kumchukua Mbappe kwani
wamewasilisha ofay a Pauni milioni 150 kuhakikisha
wanainasa saini ya Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka
22.

Awali, vigogo hao wa La Liga waliipelekea PSG ofa ya
Pauni milioni 137 lakini PSG waligoma kuipokea.

Kama si Jesus, mabosi wa PSG watahamishia nguvu zao
kwa Mbrazil mwingine anayekipiga Ligi Kuu ya England
akiwa na Everton, Richarlison.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles