25.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Profesa Ndalichako aipongeza GGML udhamini tuzo muajiri bora 2023

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako akimpatia cheti cha shukrani Meneja Mwandamizi wa Rasilimali Watu kutoka GGML, Charles Masubi baada ya kampuni hiyo kuwa mmoja wa wadhamini wakuu wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa muajiri bora wa mwaka 2023 – tuzo ziliandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE). Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano, Stephen Mhando akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ATE, Suzanne Ndomba-Doran na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya ATE, Oscar Mgaya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi na menejimenti ya GGML katika hafla hiyo ya ugawaji wa tuzo za muajiri bora kwa mwaka 2023.
Baadhi ya wafanyakazi wa GGML wakifurahi cheti cha shukrani walichokabidhiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako katika hafla hiyo ya kukabidhi tuzo kwa mwajiri bora kwa mwaka 2023.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles