26.4 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

‘MOYO NYAMAZA’ YA ENTUJAEL YAKIMBIZA MTANDAONI

Na MWANDISHI WETU

SIKU moja baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Moyo Nyamaza, mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini, Entujael Msangi, amesema mapokezi ya kazi hiyo kwenye mtandao wa YouTube yanaridhisha.

Akizungumza jana, Entujael alisema kumekuwa na mwitikio mkubwa wa mashabiki kumiminika kwenye mtandao wa YouTube kuitazama video hiyo, ambapo ndani ya saa 24 toka imewekwa, imetazamwa na watu wengi tofauti na matarajio yake.

“Nitoe shukrani zangu za dhati kwa Amazing Pixx Pro kwa kunitengenezea video kali ambayo imepokewa vizuri na mashabiki kwenye mtandao wa YouTube, niwaahidi watu wa Mungu baada ya Moyo Nyamaza wakae tayari kupokea video ya wimbo mwingine unaoitwa Sababu ya Kumwabudu,” alisema Entujael.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles