22.3 C
Dar es Salaam
Saturday, July 13, 2024

Contact us: [email protected]

Hazard mali ya Newcastle

MADRID, Hispania

IMEELEZWA kuwa huenda mshambuliaji wa Real Madrid, Eden Hazard, akajiunga na Newcastle ifikapo Januari, mwakani.

Tayari iko wazi kuwa kocha wa sasa wa Madrid, Carlo Ancelotti, haoni umuhimu wa mchezaji huyo pale Santiago Bernabeu.

Katika hatua nyingine, imeripotiwa kuwa Hazard raia wa Ubelgiji anataka kubaki Madrid na si kuondoka kama inavyovumishwa.

Nafasi yake kikosini si tu imeathiriwa na majeraha, bali pia kinda aliye kwenye ubora wake, Vinicius, ndiye anayetumika kama winga wa kushoto.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles