28.7 C
Dar es Salaam
Thursday, June 13, 2024

Contact us: [email protected]

Haaland afungasha virago Dortmund

MUNICH, Ujerumani

MPACHIKAJI mabao hatari wa Borussia Dortmund, Erling Braut Haaland, anataka kuikacha klabu hiyo wakati wa usajili wa kiangazi, mwakani.

Haaland (21), ameshaingia kambani mara 70 katika mechi 69 tangu aliposajiliwa na Dortmund mwanzoni mwa mwaka jana akitokea RB Salzburg ya Ligi Kuu nchini Austria.

Hii ya kutaka kuondoka Dortmund inakwenda kuwa habari njema kwa mabosi wa klabu za Bayern Munich, Real Madrid na Manchester City, ambao mara kadhaa wamekuwa wakijaribu kuinasa saini yake.

Kwa upande mwingine, wakala wake anataka mchezaji huyo wa kimataifa wa Norway atue Barcelona.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles