30.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 7, 2021

Pogba akili yote iko Juve

MANCHESTER, England

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba, anavutiwa zaidi na mpango wa kurejea Juventus na si kwenda PSG au Real Madrid.

Pogba atamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na hajaonesha nia ya kuongeza mwingine Old Trafford.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, Pogba ameshamwambia wakala wake, Mino Raiola, ashughulikie ishu ya kurejea Ligi Kuu ya Italia (Serie A).

Mfaransa huyo atakuwa huru kuzungumza na klabu yoyote ya nje ya England ifikapo Januari, mwakani.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,424FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles