24.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Davido kufanya ngoma na Trey Songz

‘Davido’LAGOS, NIGERIA

NYOTA wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ anatarajia kufanya ngoma na msanii wa RnB nchini Marekani, Trey Songz.

Staa huyo wa ngoma ya Fans Mi, amekuwa na ushindani mkubwa na msanii mwenzake, Wizkid, ambaye tayari  ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na Swizz Beatz.

Mwaka jana, Trey Songz, alikuwa nchini Nigeria na alisema kwamba anatamani kufanya kazi na wasanii wa chini hiyo, hivyo Davido ametumia shavu hilo vizuri.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii huyo ameposti picha akiwa Trey Songz na kuandika maneno yanayoashiria kuna kitu kikubwa kinakuja kati yao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles