22.3 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 22, 2024

Contact us: [email protected]

Blac Chyna: Nguo zimeanza kunibana

blac-chyna-shows-off-her-baby-bump-in-miami-01-1NEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Blac Chyna, ambaye anatoka kimapenzi na kaka wa Kim Kardashian, Rob Kardashian, amesema kwamba nguo zake kwa sasa zimeanza kumbana.

Mrembo huyo anatarajia kupata mtoto na Rob, hivyo amesema nguo zake nyingi zimeanza kumbana kutokana na ujauzito wake kukua kwa kasi.

“Kuna baadhi ya nguo natakiwa kuziacha kwa sasa kutokana na tumbo langu kukua, nitakuja kuzivaa baada ya mtoto kuzaliwa. Muda mwingi navaa nguo mpya maalum kwa ujauzito, natarajia kuongeza familia yangu nikiwa na Rob” alisema Blac Chyna

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles