22.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Beyonce aibukia kwa Serena

LOS ANGELES, Marekani

STAA wa muziki nchini Marekani, Beyonce, amepata shavu la kuingiza wimbo katika filamu ya baba yake Serena Willliams, mzee Richard Williams.

Filamu hiyo iitwayo King Richard, inazungumzia maisha yam zee huyo na namna alivyoanza harakati za kuwafikisha kwenye mafanikio ya tenesi mabinti zake wawili; Serena na Venus.

Mwongozaji wa mzigo huo ni Reinaldo Marcus Green, huku mmoja ya waigizaji akiwa ni mkali wa vichekesho ambaye pia ni mwanamuziki, Will Smith.

Filamu hiyo ilitarajiwa kuingia sokoni Novemba 25, mwaka jana, lakini ilishindikana kutokanana ‘fujo’ za janga la Corona, hivyo kwa Marekani itaanza kuonekana Novemba 19, mwaka huu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles