27.4 C
Dar es Salaam
Thursday, December 9, 2021

Di Maria: Nilichelewa wapi kuja PSG?

PARIS, Ufaransa

KIUNGO wa pembeni wa PSG na timu ya taifa ya Argentina, Angel Di Maria, amesema amekuwa ni mwenye furaha tangu alipotua klabuni hapo.

Di Maria aliyejiunga na PSG mwaka 2015 baada ya kufeli Manchester United, yuko kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia matajiri hao wa Jiji la Paris.

“Kuichagua Paris ni uamuzi bora zaidi kuwahi kuufanya katika maisha yangu,” amesema Di Maria katika mahoajiano na Telefoot.

Kwa muda aliokaa PSG, nyota huyo amejipatia mafanikio makuba, ikiwamo kutwaa mara nne ‘ndoo’ ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1).

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,672FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles