27.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Mke afichua Fury kuacha ndondi

LOS ANGELES, Marekani

MKE wa Tyson Fury, Paris Fury, amesema bondia huyo wa ngumi za uzito wa juu duniani ataachana na mchezo wa masumbwi miaka michache ijayo.

Fury mwenye umri wa miaka 33, ambaye wengi wanamfahamu kwa jina la ‘Gypsy King’, hivi karibuni aliendeleza ubabe wake ulingoni kwa kumtandika kwa KO bondia raia wa Marekani, Deontay Wilder.

“Kwa sasa ana miaka 33, nafikiri hadi atapofikisha miaka 35,” amesema bibiye Paris akisema haamini kama mumewe huyo atasubiri kupoteza pambano ndipo atangaze kusfaafu.

Paris na Fury wana watoto sita na mwanamke huyo aliulizwa kama mmoja kati yao atafuata nyayo za baba yake, akisema kwa sasa hakuna hata mmoja.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles