HomeKitaifa KitaifaSiasa Dk. Mpango ashiriki Harambee ya ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za CCM Mkoa wa Pwani By Mtanzania Digital June 30, 2024 0 863 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na Serikali walihudhuria. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleWadaiwa sugu bodi ya mikopo kusakwa zipatikane Sh bilioni 200Next articleDC Machali azindua jengo la Dawati la Jinsia na Watoto wilayani Mkalama Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Elimu na Teknolojia Wahitimu fani ya ufundi mitambo wapewa mbinu za ajira Biashara na Uchumi Wachimbaji, wafanyabiashara waanika mapendekezo kukuza sekta ya madini Siasa TLP mguu sawa kampeni uchaguzi serikali za mitaa LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Elimu na Teknolojia Wahitimu fani ya ufundi mitambo wapewa mbinu za ajira Biashara na Uchumi Wachimbaji, wafanyabiashara waanika mapendekezo kukuza sekta ya madini Siasa TLP mguu sawa kampeni uchaguzi serikali za mitaa Burudani Tamasha la Filamu za Beijing Afrika lazinduliwa i Dar Biashara na Uchumi Milioni 455 kusambaza mitungi ya gesi 22,000 Tabora Load more