24.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

ZIADA ZA BETWAY TANZANIA

Tunawaenzi wateja wetu hapa Betway, ndio maana tunakupa ziada utakayoitumia kubashiri pindi tu unapojiunga nasi.Ukarimu umekuwa hulka yetu tangu 2006 tulipoanza kuwapa wachezaji nafasi za kupata hela kwa kubashiri.Utapata taarifa za ukarimu wetu katika hakiki hii kwa Betway Tanzania na mengi kutuhusu utakapojisomea. Tunakupa nafasi nyingi na za kipekee kupata ushindi kwa kubuni njia mpya za kukufaidi kila uchao.

Yakuvutia 

Welcome Bonus

Tunakupa amana ya Tsh 3,000 pindi tu unapofungua akaunti kama mteja mpya. Ziada hii tunakupa hata usipoweka hela zozote kwenye akaunti yako. Una uhuru wa kuitumia kubashiri katika mchezo wowote katika soko letu pana. Kisha upatapo ushindi unaweza kuzitoa hela zako mara moja bila vikwazo.

20x Bet Cashback

Bao la kusawazisha au kunyakua ushindi dakika ya mwisho ni tukio analolichukia kila mshiriki wa ubashiri. Hapa Betway Tanzania tumewasikiliza wateja wet na tukabuni suluhisho. 20x Cashback inakupa mfano wa bima ikufae hili linapotokea. Ili kupata ziada hii, ni lazima uwekee amana matukio angalau sita yenye uwezekano wa 1.5 au zaidi. Hela utakazojishindia ukitumia ziada hii zitafika kwenye akaunti yako chini ya masaa ishirini na manne.Kiwango cha hela utakachopata kitalingana na kiasi cha tuzo katika ubashiri wako wa awali.

Multi – Bet 100% Boost

Wingi wa matukio huzidisha unono wa ushindi, hili litakufarahisha sana. Kila mara unapoteua tukio jipya kwenye orodha yako ya ubashiri yenye matukio kadhaa, tunakutuza nyongeza ya 100%  kwenye ubashiri wako. Hili linafanyika moja kwa moja bila hata bila kuingiza kodi ya mauzo ya Betway.Kigezo kichowekwa tu ni kuwa, lazima matukio unayoyakadiria yawe na uwezekano wa ushindi wa 1.2 au zaidi.

Jipatie Ushindi Mnono

Ni azimio la kila mchezaji kujivunia donge nono katika kubashiri michezo aipendayo. Hapa Betway tunakulainishia njia ya kuafikia azimio hili. Unapojiunga nasi kwa kutumia hatua rahisi zifuatazo:

  • Bofya kidude kilichoandikwa jisajili kwenye upande wa kulia juu katika wavuti wetu.Utaongozwa hadi kwenye hatua za usajili.
  • Jaza maarifa yatakayoitishwa pale ambayo ni, nambari yako ya simu,jina lako, anwani ya barua pepe na kisha ujaze nenosiri utakalolitumia.
  • Hatua ya tatu ni kuchagua lugha utaakayoitumia katika wavuti wa Betway Tanzania na kujaza tarehe ya kuzaliwa. Tunakubali tu wachezaji waliotimiza miaka 18 na zaidi.
  • Kubali sheria na masharti yaliyoandikwa.
  • Tutakutumia kodi ya kutumia mara moja kwenye simu yako. Kodi hii itakuwezesha kupata ziada ya usajili tunayoitoa.
  • Jaza kodi hii kwenye nafasi yake na upate ziada yako.
  • Hakikisha kuwa anwani ya barua pepe ni sahihi kwa kuzindua kiunga tulichokutumia kwenye anwani ile.

Kufanyia malipo

Kuweka pesa kwa akaunti yako ya Betway ni rahisi ukitumia simu yako. Unaweza kuweka pesa ukitumia aidha Mpesa kutoka Vodacom, Airtel Money au hata Tigo. Kila mojawapo ya njia hizi ina msharti yake tuliyoyaeleza kwa kina katika wavuti wetu.

Baada ya kushinda pesa, unaweza kuzitoa ukaziweka kwa akaunti yako ya Mpesa, Airtel Money au Tigo. Muda wa kupata hela zako pia, utalingana na njia ya mapokezi utakayoichagua.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles