23.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, June 19, 2024

Contact us: [email protected]

Kubashiri na Betway na Ziada

Kuna kampuni nyingi za kubashiri nchini Tanzania na kampuni yetu ya Betway ni moja wazo. Tunakupatia michezo mbalimbali ya kasino unapojiunga nasi. Tena, kufungua akaunti na  sisi ni rahisi, na inachukua muda kidogo sana kukamilisha zoezi lenyewe.

Je, unahitaji nini kufungua akaunti na sisi?

Unahitaji vitu kadhaa kujifungulia akaunti yako ya kubashiri ndani ya Betway. Unapoingia katika wavuti wetu, tunakupeleka moja kwa moja kufungua akaunti yako. Utahitajika kuweka;

 • Namba yako ya simu
 • Majina yako kamili
 • Barua pepe
 • Siku yako ya kuzaliwa 

Lazima uwe na miaka 18 au zaidi ili kufungua akaunti.

Kasino za Betway

Kampuni yetu haina kasino zozote nchini Tanzania. Kuna uwezekano wa kuanza kutoa huduma hizo hivi karibuni. Kama uko Kenya, unaweza kucheza kasino tofauti tofauti.

Baadhi ya kasino zetu ni kama Roulette, Vegas Strip, Sapphire Roulette, Fruit Blast, Dragon Tiger, Viva Vegas, Magic Sahara, Football Star, na The Vault.

Tuko pia na kasino hai yaani ‘live kasino’ ambazo ni kama Cash or Crash, Fan Tan, Instant Roulette, Evolution Black Jack, Blaze Roulette, Grand Roulette, na Lightning Baccarat.

Ziada za Betway

Kampuni yetu ina ziada kadhaa ambazo unaweza kufaidika pakubwa kama utazitumia. Njia rahisi ya kupata ziada za Betway ni kupitia matangazo kwa Betway TZ kisha ufuate maelekezo yaliyo pale. 

Welcome Offer

Unapojiunga na na sisi, unapata ziada ya makaribisho ambayo tunaipa jina la kiingereza, “welcome offer” kwa wateja wageni. Unaweza kupata hadi TSh 3,000 za sare kuwekeza kwa kasino unazopenda. 

Moneyback Boost

Moneyback Boost inakusaidia kurejesha hadi mara 20 ya pesa ulizowekeza na kupoteza. Kupata ziada hii, lazima uongeze chaguo sita zaidi mbali na chaguo zilizoko kama unabashiri soka.

Bet Boost

Unapobashiri soka, tutakuongezea dau lako hadi 100%. Kwa kila ‘odds’ za 1.2 na zaidi unazojumulisha kwa orodha yako ya kubashiri, unajiogezea asilimia kiasi fulani. Hii inamaanisha unaweza kushinda mara mbili ya dau lako. 

Cash-out

Unaweza kutoa kiasi cha dau lako ata kama mechi hazijaisha. Ukishuku kwamba timu fulani zitashindwa, unaweza amua kutoa pesa zako ili usipoteze kila kitu.

Kwa nini ujiunge na Sisi?

Kuna sababu kadhaa ambazo zinaiweka kampuni yetu kwa orodha ya kampuni bora za kubashiri. Zifuatazo ni sababu zinazoweza kukuvutia.

Ziada

Kampuni yetu ina ziada chungu nzima kwa wateja wapya pamoja na waliojiunga kitambo. Baadhi ya Ziada zetu ni Cash-out, Bet Boost, na Moneyback Boost.

Wasaidizi wema wa wateja

Unapopatwa na matatizo ya akaunti yako, wasaidizi wetu wa wateja watakushughulikia kwa haraka kuhakikisha uko sawa.

Mtandao unaofanya kazi kwa haraka

Ni rahisi sana kufungua mtandao wetu ili kuwekeza.

Utaweka vipi pesa kwa akaunti yako ya Betway?

Kuweka pesa kwa akaunti yako ya Betway ni rahisi ukitumia simu yako. Unaweza kuweka pesa ukitumia.

 • Mpesa
 • Airtel money
 • Tigo

Baada ya kushinda pesa, unaweza kuzitoa ukaziweka kwa akaunti yako ya Mpesa, Airtel Money au Tigo.

Hitimisho

Kampuni yetu ya Betway ni ya kubashiri na inatoa huduma kwa nchi nyingi ikiwemo Tanzania. . Kujiunga nasi ni rahisi bora uwe na simu au kompyuta. Kuna ziada kadha wa kadha ambazo unaweza kuzipata unapojiunga nasi. Kuweka na kutoa pesa ni rahisi ukitumia Mpesa, Tigo au Airtel Money.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

 1. Je, nahitaji msimbo wakati wa kufungua akaunti na Betway?

Ndio, unahitaji msimbo ambao tutakutumia kwa namba yako ya simu.

 • Betway Tanzania wanapeana dau za sare?

Tutakuzawadi dau ya sare unapojiunga nasi.

 • Betway wana ziada zozote kwa wateja waliosajiliwa?

Ndio, tutakupatia ziada tofauti tofauti unapokuwa mteja wetu.

 • Ziada ya makaribisho inadumu hadi lini?

Ziada ya makaribisho inadumu kwa siku 180.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles