Swansea yamtaka Guidetti

John GuidettiLONDON, ENGLAND

KLABU ya Swansea City imesema ipo tayari kuweka fedha mezani kwa ajili ya kumrudisha mshambuliaji wa klabu ya Celta Vigo, John Guidetti katika ligi ya nchini Uingereza, mchezaji huyo aliwahi kukipiga katika klabu ya Manchester City.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here