Giggs kupewa timu ya vijana

Ryan GiggsMANCHESTER, ENGLAND

KOCHA msaidizi wa klabu ya Man United, Ryan Giggs, inadaiwa anaweza kupewa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 baada ya Jose Mourinho kusaini mkataba na klabu hiyo, awali Giggs alikuwa msaidizi wa Van Gaal ambaye amefukuzwa kazi hivyo Mourinho atatafuta msaidizi wake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here