Timu tatu zataka saini ya Berahino

Saido BerahinoLONDON, ENGLAND

KLABU ya Crystal Palace imeingia kwenye vita moja na Watford na Stoke City kwa ajili ya kuwania saini ya mshambuliaji wa West Brom, Saido Berahino, huku Palace wakiweka mezani kitita cha pauni milioni 7.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here