HomeBurudani Burudani Rais wa Zanzibar ampa zawadi Sanjay Dutt By Mtanzania Digital November 9, 2021 0 1929 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo Novemba 9,2021 akiwa na ujumbe wake. Picha na Ikulu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa marungumzo yao yaliyofanyika leo Novemba 09,2021 alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu]. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleEmanuel awakumbuka wazazi na ‘Asante’Next articleGST YASHAWISHI SLOVAKIA, CHINA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA MADINI TANZANIA Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Habari Kuu Dk. Biteko kushiriki uapisho wa Rais mpya Botswana Kilimo Wakulima wadogo wa mpunga watakiwa kutumia wataalamu kuboresha uzalishaji Habari Kuu Jukwa la Wahariri lamtumia salamu Jerry Silaa LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Habari Kuu Dk. Biteko kushiriki uapisho wa Rais mpya Botswana Kilimo Wakulima wadogo wa mpunga watakiwa kutumia wataalamu kuboresha uzalishaji Habari Kuu Jukwa la Wahariri lamtumia salamu Jerry Silaa Biashara na Uchumi Watumishi wa Programu ya AFDP wapokea ujumbe wa IFAD Biashara na Uchumi Vijana 1,000 kutolewa kwenye umaskini, utegemezi mitaani Mwanza Load more