27 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Rais wa Zanzibar ampa zawadi Sanjay Dutt

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa marungumzo yao yaliyofanyika leo Novemba 09,2021 alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu].
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles