22.7 C
Dar es Salaam
Saturday, July 13, 2024

Contact us: [email protected]

Kanye West avunja onyesho lake

Kanye WestNEW YORK, MAREKANI

RAPA Kanye West juzi alishindwa kumaliza shoo yake baada ya mashabiki kuanzisha fujo na kumvamia msanii huyo.

Shoo hiyo ya ghafla ilifanyika New York, lakini msanii huyo alishindwa kuendelea kutokana na mashabiki zaidi ya 4,000 waliojitokeza katika ukumbi wa Webster, ulio na uwezo wa kuchukua watu 1500 kuvamia jukwaani.

Mashabiki wengine walijaa barabarani na kisha kupanda juu ya magari kwa ajili ya kutafuta namna ya kumuangalia msanii huyo.

Hata hivyo, msanii huyo kupitia akaunti yake ya Twitter, aliomba radhi mashabiki wake kutokana na kuvunjwa kwa shoo hiyo kwa kuwa ukumbi ulikuwa hautoshi na vurugu zingesababisha maafa zaidi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles