22 C
Dar es Salaam
Sunday, May 28, 2023

Contact us: [email protected]

Kylie: Hamuwezi kuona mkanda wetu wa ngono

Kylie na TygaNEW YORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mpenzi wa rapa Tyga, Kylie Jenner, amefurahia akaunti yake ya Twitter kufungiwa ambayo inadaiwa kuwa na mkanda wake wa ngono na aliyekuwa mpenzi wake huyo.

Mrembo huyo alifanikiwa kufikisha marafiki zaidi ya milioni 16, lakini mara baada ya kuachana na Tyga mwezi uliopita ikadaiwa kwamba kuna mkanda wa ngono umetupiwa kwenye akaunti hiyo waliocheza yeye na aliyekuwa mpenzi wake huyo.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, mrembo huyo aliandika kwamba kwa sasa hana wasi wasi kuenea kwa mkanda wake huo.

“Kwa sasa mkanda wangu wa ngono ambao nilicheza na Tyga hauwezi kuonekana kwa kuwa akaunti yangu ya Twitter imefungiwa, hivyo hakuna anayeweza kuona chochote,” aliandika Kylie.

Mrembo huyo kwa sasa anatoka na msanii wa hip hop nchini Mrekani anayejulikana kwa jina la PartyNextDoor.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,167FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles