23.9 C
Dar es Salaam
Thursday, September 29, 2022

Joel Jorchie Kandolo aachia ‘Ma Plus Belle Histoire’

MONTREAL, CANADA

KUTOKA nchini Canada, mwimbaji wa gospo, Joel Jorchie Kandolo, amewaomba wapenzi wa muziki huo Afrika Mashariki kuipokea video ya wimbo wake mpya Ma Plus Belle Histoire au My Most Beautiful Story.

Akizungumza na MTANZANIA, Kandolo alisema licha ya kuwa anatumia lugha ya Kifaransa (French) ila anahitaji muziki wake uwafikie watu wengi wa Afrika hasa Tanzania.

“East Africa naipenda ndio maana nimeamua niwekeze nguvu zangu huko. Nimeachia wimbo wangu mpya ambao umebeba hisroria nzuri na mimi na Mungu (Ma Plus Belle Histoire), video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube na ninaomba sapoti kutoka kwa Watanzania, naishukuru timu yangu kuanzia mwongozaji wa video Pee Zee na Heaven Boy Producer,” alisema mwimbaji huyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,298FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles