23.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Heripoza aiweka wazi EP yake

KENTUCKY, MAREKANI

KUTOKA Kentucky nchini Marekani, msanii anayekuja kwa kasi kwenye muziki, Heripoza Overboy, amewaomba mashabiki waipokee albamu yake fupi (EP), Try It yenye mchanganyiko wa ladha za R&B na Soul.

Akizungumza na MTANZANIA, Heripoza alisema EP hiyo tayari inapatikana kwenye mitandao mbalimbali ya kusikiliza na kuuza muziki hivyo mashabiki wanaweza kuitafuta.

“EP yangu ipo kwenye mitandao ya YouTube, Spotify, Apple Music, Audiomack, iHeart, Pandora na Amazon. Ina ngoma tano ambazo ni Nana, Sogea, Seseta niliyomshirikisha 4b Bless, Compare niliyomshirikisha Ti MB na Ringa, nahitaji sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki zangu Afrika Mashariki,” alisema msanii huyo mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles