28.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Ferguson kuachia ‘Twanga Kwanza’

FergusonNA MWALI IBRAHIM

RAPA mahiri wa muziki wa dansi nchini, Saulo John ‘Ferguson’, anatarajia kutambulisha wimbo wake mpya wa ‘Twanga Kwanza’.

Wimbo huo kwa mara ya kwanza utasikika katika utambulisho wake mpya kwenye bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, utakaofanyika Machi 19 mwaka huu katika Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni.

‘Ferguson’ amejiunga na Twanga akitokea bendi ya Mashujaa aliyoitumikia kwa miaka mitatu kwa sasa wapo kambini mkoani Dodoma.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles