23.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

EPL NA SERIE A KUMJUA BINGWA WIKIENDI HII, BINGWA NI…?

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa.

Baada ya purukushani za wiki 37, hatimaye bingwa wa EPL na Serie A kujulikana kwenye wiki ya 38. Nani ataibuka kidedea? Mchongo upo Meridianbet.

Inter Millan watakua San Siro wakichuana na Sampdoria. Ni tofautui ya alama 1 kati yao na majirani zao, AC Millan. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote, Inter watafanikiwa kutetea ubingwa wa Serie A au Sampdoria wataharibu shughuli? Ifuate Odds ya 1.13 kwa Inter. Upande wa pili wa shilingi, Sassuolo watawakabili AC Millan ambao wanaongoza msimamo wa Serie A mpaka sasa. Sassuolo wamekuwa kikwazo kwa vigogo wa Italia msimu huu, hawafungiki kirahisi. Stephano Pioli atafanikiwa kubeba taji ambalo walilikosa msimu ulioisha? Odds ya 1.44 ipo kwa Millan.

Kunako EPL, sasa hivi sio tofauti ya magoli tena, ni pointi 1 pekee kati ya Man City na Liverpool. Jumapili hii tutaamua nani bingwa wa EPL – ni Pep Guardiola au Jurgen Klopp? Wakati City akichuana na Aston Villa kule Etihad, Liverpool atakua Anfield akiwakabili Wolves. Michezo yote itachezwa mda mmoja na, kombe la EPL litakuwepo kwenye viwanja vyote viwili. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.16 kwa City na, 1.14 kwa Liverpool.

Yote kwa yote, Manchester United wanakibarua dhidi ya Crystal Palace. Huu ni mchezo ambao utaamua ni mashindano yapi United itashiriki msimu ujao – ni Europa League au Conference League? Hakika, pointi 3 ni muhimu kwa United kule Selhurst Park. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa United.

Wakati ukiwa unaendelea kumsubiri bingwa wa EPL na Serie A, kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ingia kwenye bonanza maalumu la Aviator wikiendi hii. Safari ya ndege inayoambatana na mvua ya bashiri za bure zenye thamani ya shilingi 1,000 ambazo, zinaweza kukupa fursa ya kutengeneza faida kubwa! Ndio, Aviator Bonanza, ni Habari ya mjini!! Bofya hapa kuingia mchezoni.

Bashiri Kistaarabu. Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles