22.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

CAF na FA kunogesha wikiendi yako.

Tiketi Yako Ya Ushindi, Ipo Meridianbet Pekee!

Ni hatua ya robo fainali kunako mashindano ya Afrika wakati barani Ulaya, ni mitanange ya nusu fainali ya Kombe la FA. Mkeka wako upo hivi??

Bournemouth uso kwa uso na Middlesbrough Ijumaa hii. Championship inamvua ya magoli, soka linachezwa kwenye hali ya juu sana ikiwa ni mchakato wa kuitafuta tiketi ya kucheza EPL msimu ujao. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Bournemouth.

Ni Manchester City vs Liverpool sehemu ya 2 mwezi huu. Safari hii ni kwenye nusu fainali ya FA. Huku sasa, mmoja lazima apoteze ili mwingine acheze fainali msimu huu, Je ni nani? Ifuate Odds ya 2.41 kwa City kupitia Meridianbet.

Simba SC watakua kwa Mkapa wakiwaalika Orlando Pirates kwenye robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika. Imejengeka fikra kuwa, mnyama akiwa nyumbani hafungiki, mgeni lazima aumie. Itakua hivo dhidi ya vijana wa Madiba? Weka mchezo huu kwenye tiketi yako ya ushindi ya Meridianbet.

Kwenye LaLiga Sentander, Sevilla watawaalika Real Madrid. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zinazochuana kwenye mbio za kuwania ubingwa msimu huu. Odds nono imewekwa kwa Madrid, 2.44 ipo kwa ajili yako.

Napoli watapambana na AS Roma kwenye Serie A. Nchini Italia napo msimu unashika hatamu. Kila timu inapambana kumaliza msimu kwenye nafasi za juu, ni Insigne au Abraham atakayetoboa dakika 90? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.91 kwa Napoli.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles