23.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Busu la Usher kwa Oprah lazua utata

Usher na OprahNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa RnB, Usher Raymond, amezua utata kwenye ndoa yake baada ya kumbusu Oprah Winfrey walipokutana kwenye tamasha la Robin Hood Foundation.

Inadaiwa kwamba ni kipindi kirefu msanii huyo alikuwa hajakutana na mtangazaji huyo, hivyo busu hilo lilikuwa kama zawadi na halikuwa na maana nyingine kama watu wanavyodhani.

“Ukaribu wangu na Oprah umeleta utata katika familia yangu, hii imetokana na watu kuutafsiri vibaya, lakini ukweli ni kwamba hakuna chochote kinachoendelea kati yetu zaidi ya kazi.

“Mke wangu aliniuliza swali juu ya busu hilo huku akionekana kukasirishwa, lakini ni mwelewa na kila kitu kipo sawa,” aliandika Usher kwenye akaunti yake ya Instagram.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles