GLORY MLAY
MSANII wa bongo fleva, Eliasi Barnaba ‘Barnaba’ amesema mpango wake aliokuwa nao kwa sasa ni kufuta tattoo ya mama mtoto wake baada ya kutengana.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Barnaba alisema kama mtu akiachana na mpenzi wake hana haja ya kubaki na alama yoyote kwasababu inamkubushia machuku.
Alisema alijitahidi kuvumilia lakini anaona machungu yanaongezeka hivyo anahitaji kuifuta ili kuwa sawa.
“Nimepitia maumivu na machungu mengi hivyo sihitaji kubaki na alama ya mtu ambayo nimempoteza hivyo ninampango wa kuifuta ili kumsahau kabisa,