26.8 C
Dar es Salaam
Monday, December 6, 2021

Barca kubeba wawili Chelsea

CATALUNYA, Hispania

UKIACHA Hakim Ziyech, pia Barcelona wamepanga kuibomoa Chelsea kwa kumchukua staa mwingine wa timu hiyo ifikapo Januari, mwakani.

Kwa mujibu wa taarifa, nyota aliyeingia kwenye rada za vigogo hao wa La Liga ni straika wa Kijerumani, Timo Werner.

Barca wamewageukia wawili hao baada ya kuona haitakuwa rahisi kwa Manchester City kumwachia mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,263FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles