23.6 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

Ferguson hausiki ‘ishu’ ya kocha United

MANCHESTER, England

ALIYEKUWA kocha wa Manchester United, Alex Ferguson, hatahusika kwa namna yoyote katika mchakato wa kumsaka atakayekuwa mkuu wa benchi la ufundi la timu hiyo.

Man United iko sokoni kutafuta kocha mpya baada ya kumtimua Ole Gunnar Solskjaer na Ferguson ni mkurugenzi wa soka klabuni hapo.

Katika hatua nyingine, mabosi wa timu hiyo wameendelea kuhususishwa na makocha mbalimbali, akiwamo Mauricio Pochettino anayeiboa PSG.

Wakati Pochettino akitajwa Old Trafford, nafasi yake pale PSG inatarajwa kuchukuliwa na kocha wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles