Ali Kiba kutoka upya na Lupela

0
1512

Alikiba_(Tz)NA HERIETH FAUSTINE

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Ally Kiba, amesema wimbo wake mpya wa ‘Lupela’ atauachia mwishoni mwa mwezi wa nne.

Wimbo huo ambao video yake imefanyika nchini Marekani, utaachiwa rasmi mwezi wa nne, ukiwa ni sehemu ya mradi wa Wild Aid ambao msanii huyo ni balozi wake.

Haijajulikana kama wimbo huo ni sehemu ya kampeni hiyo, lakini vipande vya wimbo huo vilivyowekwa katika mitandao ya kijamii vinasikika na kuonyesha kuwa video ya kawaida na si kampeni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here