21.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Albamu ya Beyonce kushtakiwa

BeyonceNEW YORK, MAREKANI

ALBAMU mpya ya nyota wa muziki nchini Marekani, Beyonce Knowles ya Lemonade, inashtakiwa kutokana na baadhi ya vipande kufanana na filamu ijulikanayo kwa jina la Palinoia.

Albamu hiyo ya Lemonade imeorodheshwa miongoni mwa albamu zilizopendwa sana baada ya kutolewa mwaka huu, lakini inadaiwa msanii huyo kuna baadhi ya vitu amevirudia na hajatoa maelezo yoyote kuwa kwa nini amerudia.

Watu wanadai kwamba walitarajia kuona kitu kipya na tofauti, lakini wameshangaa kuona vitu walivyoviona kwenye albamu yake ya awali, hivyo hakukuwa na sababu ya kuinunua albamu hiyo.

Hata hivyo, msanii huyo inadaiwa kwamba amekubali kunakili kazi hizo kutoka filamu ya Palinoia na amewaomba radhi mashabiki wake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles